Mwanafunzi Mpendwa...
Je una project ya mwisho ambayo inakupa stress? Unajikuta ukichelea kila siku kuwa haujui wapi uanze, documentation inakulemea, na supervisor anakupa marekebisho kila unapomtembelea?
Nimekutana na wanafunzi 200+ wenye changamoto kama hizi, na wote wamepata solution kupitia mfumo wetu.
Kuhusu EsoTech Company
EsoTech ni kampuni ya software nchini Tanzania yenye uzoefu wa zaidi ya miaka 6 katika:
System Development
Web, Mobile, Desktop Applications
Project Mentorship
Final Year Projects kwa wanafunzi
Kwanini Wengi Wanashindwa na Project?
Baada ya kusaidia wanafunzi 200+, nimegundua makosa 3 makuu yanayowafanya wengi kushindwa:
Documentation Duni
Chapter 1-5 hazifuati muundo, hazina references, formatting mbaya
System Inayokosa Logic
Database design mbaya, hakuna error handling, UI duni
Kutokuwa Tayari kwa Viva
Hujui kuelezea code yako, huna confidence ya ku-present
SOLUTION YETU INAKUPATIA: System inayofanya kazi + Documentation kamili + Training ya Presentation + Viva Preparation. Unapata kila kitu kwa package moja!